Jatu Market ni mfumo unaomsaidia mwanachama kufanya manunuzi na mauzo ya bidhaa zake katika application inayopatikana playstore na appstore. pia mwanachama anaweza kuangalia hisa zake na mengine mengi. ipakue sasa
Kupitia mfumo huu Unaweza kutuma picha, video na hati anuwai, Unaweza kuandika na kutuma ripoti kupitia kikundi chako maalum au kampuni, Unaweza kuunda viwango tofauti vya usimamizi kupitia kikundi husika.
Kupitia Mfumo Wa Jatu Market Unaweza Kuagiza Bidhaa Zetu Zote Na Kuletewa Mpaka Ulipo. Pia Unaweza KufIka Katika Supermarket Zetu.
Hii Ni Chaneli Inayopatikana Youtube Ambayo Ina Wafuatiliaji (5k+) Zaidi Ya Elfu Tano Ikiwa Na Video Mbali Mbali Za Mafunzo Na Matukio Ya Jatu PLC.
Kupitia JATU PLC Unaweza Kupata Huduma Za Tehama Zinazotolewa Na Wataalamu Kutoka Jatu Tech. Huduma Kama Application And Website Development Utazipata Hapa.
Huduma Ya Chakula Bora Kutoka Jatu PLC Ambapo Unaweza Kufika Mgahawa Wetu Posta Mpya Karibu Na Chuo Cha IFM Au Kuagiza Na Kuletewa Mpaka Ulipo Kupitia App Ya Jatu Market.
Tunaendesha na kusimamia miradi mbalimbali ya kilimo. Pia tunatafuta mashamba na kuyafanyia utafiti na tunapojiridhisha ni maeneo mazuri kwa kilimo tunawashirikisha wanachama ili waweze kuyamiliki mashamba hayo.
soma zaidiKampuni ya JATU imekuwa ikianzisha viwanda vidogo karibu na maeneo ya miradi yake ya kilimo na kununua mazao ya wakulima wake ambao ni wanachama wetu na kisha kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kupitia mifumo yetu ya masoko.
soma zaidiTunatumia mfumo wa masoko ya mtandao katika kuuza bidhaa zetu, pia kila mteja (mwanachama) anayefanya manunuzi ya bidhaa hizo kupitia mfumo wetu (JATU APP) hupata sehemu ya faida (gawio 10%) ya bidhaa husika kila mwezi.
soma zaidiJATU kwa kuwa tuna wanachama wengi na ambao ni wajasaliamali, tumeanzisha Saccos maalumu ambayo haina riba kwa mkulima wa JATU na ina masharti nafuu ya kukopa kwa wakati. Lengo ni kuhakikisha mwanajatu hakosi mtaji.
soma zaidiJenga Afya Tokomeza Umaskini ( JATU) PLC ni kampuni ya kitanzania iliyosajiliwa kama kampuni ya umma (Public Limited Company) inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa na baada ya mavuno kampuni hununua mazao yote na baadaye kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa wanachama wa JATU kwa mfumo wa biashara ya mtandao (network marketing).
Kuwa kampuni inayoongoza na inayolenga katika kuongeza lishe, usalama wa chakula na kumaliza umaskini barani Afrika
Kutumia rasilimali watu katika kilimo, teknolojia ya usindikaji wa chakula na uuzaji wa bidhaa bora za chakula kwa wateja wanaopendelea kutumia mkakati wa uuzaji wa mtandao kumaliza umaskini na kutajirisha jamii na afya njema.
Kampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ya JATU ikiwa na lengo la kuuza hisa zake za awali (IPO) kwa bei ya chini ambapo hisa moja ilikua inauzwa Kampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ....
soma zaidiKampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ya JATU ikiwa na lengo la kuuza hisa zake za awali (IPO) kwa bei ya chini ambapo hisa moja ilikua inauzwa Kampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ....
soma zaidiKampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ya JATU ikiwa na lengo la kuuza hisa zake za awali (IPO) kwa bei ya chini ambapo hisa moja ilikua inauzwa Kampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ....
soma zaidiKampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ya JATU ikiwa na lengo la kuuza hisa zake za awali (IPO) kwa bei ya chini ambapo hisa moja ilikua inauzwa Kampeni ya BUKU TANO INATOSHA ambayo ilianzishwa na kampuni ....
soma zaidi